Ommy Dimpoz dead beat dad

“Babangu hajawahi kunisaidia. Alimtoroka mamangu. Hakuja kumzika. Alidharau talanta yangu ya muziki,” Tanzanian musician Ommy Dimpoz says.

This comes after his father, Mzee Nyembo, was spotted driving a TukTuk.

“Nilipokuwa mdogo, nilipata nafasi ya kukutana na baba mara moja. Aliniambia ana watoto 15. Aliniambia pia kuna mama alizaa naye na kuwa mtoto huyo atakuja kumtafuta. Niliponawiri kwenye muziki, akaanza kunipigia akijisifia kuwa yeye ni babangu. Wakati huo alitaka nimsaidie anunue Canter, kuwa anastruggle. Hajawahi kuninunulia hata nepi. Sijawahi kula pesa yake. Leo hii unaanzaje?” Dimpoz explained

Photo: Ommy Dimpoz (Instagram)