[ATTACH=full]390663[/ATTACH]
Hutu tududu tumekua na market sana, wazee wananunulia slayqueens sana
ongea juu ya gari mzito kama probox hata kwa uber siwes nunua vitz
SAA hii kadudu kana market vile bei ya mafuta imepanda
mzito aje? probox is lighter car than a vitz by far. it weighs about 900kg about 100kg less than most minis.
Vitz ya siku hizi inakaa gari ya heshima, si kama zile za kwanza ziilkuwa associated na madem.
Wamefanya great improvement on the shape of the body. I am tempted to get one
Sahi uko na?
[SIZE=7]“OMG! Vitz imefikisha one mita.” [SIZE=7]Title kama za ‘OMG’ achia teenagers [/SIZE][/SIZE]
Pale Kumamoto,probox ndo inawakunywa
[ATTACH=full]390709[/ATTACH][ATTACH=full]390710[/ATTACH]
That’s a cute Box
Hutu tududu joh siku izi tunapewa heshima. Kama saa hii tayari Demio ishafika 1m. Vitz ndo iyo pia 1m. Mind you for the same price unapata Nissan Slyphy ama Axio.
Elder iyo swali imeleta utatanishi kidogo. Self proclaimed billionaire hajui yenye ako nayo
Hio ya white swesmind kuzurura nayo pale kinoo
Kweli kabisa. Kuna kunguru tatu that najua person ambao wawili wamenunuliwa Vitz na mmoja Auris.
Hata Kimakia alinunulia bibi yake Kanguthu Vitz mpya last month
Kuna swali hapo juu chief bado wanangoja ujibu.
Toyota 110 manual gear with new tyres and spoilers
It still is, gari unaeza oshea kwa sink