ombi

punguzeni adds

Umekaribishwa unaanza kuleta masharti na kuchagua misosi?

Ugenini huku mkuu.

Vumilia tu mkuu

U naomba lift ukipewa unaanza ongeza sauti ya redio na kupiga honi:D:D

Duh! Hizo ADS ndo zimetufanya kupata hifadhi ya ukimbizi humu…

Hizo ads ndio mapato ya wenye mtandao, kwa kifupi JF ya bongo ikifa ni mamilioni ya pesa yanapotea na ajira kadhaa pia. Lakini pia ilikua na potential ya kuwa biashara kubwa zaidi yenye mapato makubwa zaidi.

Ukisoma hotuba ya bajeti 2018/2019 waziri mipango anasrma miongoni mwa mamlaka zinazoharibu mazingira ya biashara na kuleta ukiritimba na urasimu usio na msingi ni TCRA

Ndio kula yao mkuu,hii ni biashara,sisi kuchangia humu ni njia tu ya kuwezesha wao kuweka matangazo ya biashara ili watengeneze hela…

Jaribu kuweka ad blockers kwenye simu yako.

Duh