Omari Na Bakari Mnatuangusha Sana, Kufyeka Nyanya Wazungu Haileti Shangwe.

Inakaa COVID imeharibu uchumi sana

[ATTACH=full]366491[/ATTACH]

:D:D:D Omari na Bakari wanaona wamewahiii vitu mwenzangu kumbe wameruka mtaro wameangukia kisima !!!

Hizi ni vitu zimeisha threads. Kule kwao Yulop hawazitaki

:D:D:D:D hamna kitu hapo, wanajidanganya tupu.

Kwani miti ni yenu wanatumbukiza?

Money for PS5…

jaribu wewe basi achana na omari na bakari :smiley:

Mimi siwezi. Lakini mhogo ni wao.

hio mihogo inakua micherema :wink:

@MISCHIEF utajitetea ukiwa pande gani ya koti?

Wacha nitafte visa bwana.

shimo mbaya ni ya nyoka

…if a beach boy ako na watoto , do the kids know abt dad’s job

This is a very sad picture, no one should “work” this way.

A man got to do what a man got do

Hehe tabia mbovu za kijana bila mwelekeo @Jimit

Niliambiwa uko malindi wakina omari wanatambua white fossils pekee.:D:D