Olunga china move

Aparrently he has been sold for 450,000,000 kshs to Chinese top tier club [SIZE=6]Guizhou Zhicheng[/SIZE] ( ako medical ) he has snubbed bids by CSKA moscow , Galatasaray , Real Betis ,Stoke city and other top european clubs what say you ? ame haribu career ama anajijenga ? mi naona kama mbaya mbaya wanipee pesa yangu nitulie Mariga na Oliech wako wapi na hio upusss ya Europe kama Costa mwenyewe alikuwa ameingia box wewe ni nani . na hiyo CSKA moscow mtu anacheza ball aje na kume freeze kila saa na bro za putin hazitaki kuona mwafrika , wengine huko murarandia ya Russia hawajawai ona wala kuskia mwafrika in their life .

@Meria Mata hii channel ya kuonyesha premier league ya China iko wapi ? channel oriji si fake .

13 Likes

After hii kuna kambisha nilikuwa naexpect…

3 Likes

I hope atalipwa ata kama ni ka quarter ya zile pesa Sanchez anaambiliwa

Huko China ni kwa pensioners angebaki EU aonje Champions League football na amalize uni…

1 Like

Dubai sports on nilesat@7w.
Hii sat is easily receivable in Kenya and has lots of cool fta channels including dubai sports.

monkey hungoa mbicha naweka za kusafisha mecho

itaonyesha kwa hii SQNY yangu ? lazima tuone kijana wetu akipiga kina Oscar na Mikel chobo

Huyo Olunga utamwona amerudi Gor Mahia. Sasa ni team gani Europe utuma scouts wao China in search of talent.

Lichoti cheki mechi ya Ivory coast v Morocco…its moto kama pasi

1 Like

China kuna ma international UNIs mob sana

Hebu ambia hii mtu aweke mobdro kwa devices zake aache kusumbua
Go to mobdro.com and enjoy all games

Huyo chokora wa ushago usishinde unajisumbua ukimwelezea vitu complicated kama mobdro. Hawa ni wale wakinunua simu mpya wanasumbua mwenye duka awawekee ma apps kama whatsapp

8 Likes

but kama amenunuliwa 4.5 million dollars lazima analipwa pesa serious , wanyama alinunuliwa 11 million pounds so salo yake sidhani imewacha ya olunga na mbali

:smiley:

hepu niuliseko tu kidogo khocha, kwani uliona nini murarandia?

1 Like

:D:D:D:D:D kuna mtoi wangu fulani mama yake anatoka huko kuna time nilienda nikaona maajabu

leta heka:D:D:D:D:D:D

hehehe hapana hio iko classified .

3 Likes

Ghost Mulee will get between 30-45 million of that amount as he registered him in his youth club, trained him before he signed up to Gor.

2 Likes

alipewa ngapi vile alienda sweden ?