olskul hiphop kenyan replay:

JOHNNY VIGETI - TUNAWAPIGA BAO

Niko na home nyingi kushinda ma-boys
wa Mike Rabar,in fact nishakuwa
mkimbizi na John ndio naitwangwa
source inafaa inipatie hivi ma-calls na
mic saba kwa kuleta hali ya
taharuki,toka nduki ka mpangaji
mwisho wa mwezi landlord akidai
mkwanja , ata kabla nibishe mlango wa
kubabaikanga,wakaushe, aka sub zero
wame-freeze joto wanadai fulana,
temperature zimepita za huko Mombasa
na mbali sana.
Zinedine Zidane starting line up ya Real
Madrid na hiyo inamaanisha huku
hutoboi kudai namba
plus striker wao ashachoka ako hoi
anadai sub, ha!
Ni mambo na ku-mark territory kwa
hivyo ma-doggy za mitaa zingine
hazikojoi mitaani hapa
kuifanya ngumu kwa huu jamaa wa
yoyo ku-buy manga kunimwagia unga
ili uone unga ya jogoo ikimwagikanga
saa zingine hata blu ya madondo
sijaipata one chwani ya tarros kwa ile
noma nishaihata
situation ukuta nyuma yaa mgongo
kashaivana in the process I can’t take it
no more nadai kamba
tishia kuji-hang hivi,ama ku-threaten
kujirusha kutoka kwa building kama
KICC akili zipasuke kwa floor ni-die
faster,ndio mahater wakiskia hivyo
watafurahi sana, smile kushinda ule
jamaa anakuwanga kwa promo ya chai
jaba,buda flani ni-time kwa socks
utawai ganja juu tukishajibonda fresh
ndio lo wataitana…Kwisha!

This never gets old for me.

Twas and still is a nice flow

Inaitwa “Punchlines Kibao”

Na kuna link naeza download mix ya local hiphop oldskul kwanza sampuli hii?