OLOITOKTOK TOWN

talkers any suggestions for an affordable hotel in oloitoktok town. any directions to a quiet clean hotel charging not more than 2000 bed and breakfast. alafu iwe secure, safi, isikuwe na kelele na iko na internet venye unaeza kaa kwa room ufanye kazi yako.

Boss, jenga yako

Na kwani, DSA unataka kumalizia DSA kwa lodgo?

KAKULE KWENYU NOOGLE

Sawa, lakini najua job group yako na oloitoktok ni ‘other areas’

haya basi nipee hoteli ya mia tano

Huruhusiwi kulala hotel ya 500, you’ll be pecuniary embarrassing your employer

Tafuta ya 1200 mwisho

(And why are we having this conversation? Unanichokesha, bye)

2 Likes

Hahaaa you are mad

Bingwa…si siku hizi unasumbua…uko na works unaweza hook up msee?

Internet utatafuta sana. Kuna moja ilikuwa inaitwa ntawo or something close to that. Hapo ndio nilikamulia bibi for the first time. Long time ago though

contacts za hio ya 1200 basi tumalizane

let me nget this clear, yaani, you are ngoing allll the way to oloitoktok town to download porn, theriously:eek:

Enda bar strike a conversation with a total stranger atakuonyesha mpaka zenye ziko na massage parlor

akimkamua ?