Olkaria Spa - Africa's Biggest natural Health Spa

:eek::D:D

Nitaenda huko tu ndio nikojoe ndani ya hiyo pool. It’s too beautiful, it must be peed in.

1 Like

Sahii kumefurika na watu. Best time is early feb

1 Like

[ATTACH=full]144948[/ATTACH]POVERTY NA PERSONAL CAR HATUPATANI

3 Likes

Hehehe…very therapeutic.

1 Like

Haiwezi but utaparara ngozi kuliko ya kihii kiaganu

6 Likes

400 adults 200 children. Food iko na kanyama ni kutoka 500. chipo I think ni 100 or 150.

1 Like

Hiyo mambo ya ALUVU ndio hailetangi bidii

1 Like

Okuodo nini mbaya??

Inanilemea sana sana pia mimi. If there is a way to eliminate that,hiyo base inaweza kuwa my favorite hangout.

1 Like

Hizo chains Ni zile Za walalo hawkers wale husema, “waria igo bangili, Saa NA shanga Ya gold orijnol Toka Dubei. Fanya aluf Tatu yote!”

Hehehe…hapana all my accessories are genuine.

Chains za walalo zinaweza kupea tetanus halafu perfume zao unajipaka once a month and you are good:D

1 Like

:DMimi nipewe from Bus Station:D

2 Likes

camping fee?

Tembea hadi huko tom mboya mahaoi kuna gari za Naivasha. Chukua gari ya Naivash, ukifika naivasha town chukua mat za Oserian. Shuka Gate ya Hells gate. Lipa 300 then tembea hadi kwa pool ama uchukue cheki maneno 500

5 Likes

Asande

Good info, kurudi hata unaweza hitch a ride from other people who have gone there.

True

How do you reach there when you are at Kamere ?

:eek: