Old Guards are Back

Joshua Kuttuny, Jayne Kihara, Amos Muhinga Kimunya…nani mwingine…are back

ephraim maina

1 Like

Nakuru kulienda aje?

1 Like

Lee bado ako mbele

Njeru Ndwiga

Maina Kamanda though not yet confirmed

Amechukua tayari live now on KTN

na mbunge wa nakuru east/west?

Governor amekula sweep.

numbers

Wetangula, kalonzo…mdvd na Raila

4 Likes

orengo, dint print a single poster,no billboard no T-shirt, just being cool, calm and composed and he won… .

3 Likes

hawa hakuna nomination walifanya

1 Like

Francis Kimemia…Nyandarua

1 Like

Jeremiah kioni- ndaragwa

3 Likes

Joshua Kuttuny didn’t go anywhere. Alishindwa na independent candidate in 2013

2 Likes

Waititu aka wakahare ni kama mende ina survive tuu

1 Like

If they take 5 days to count party nomination votes, si 2022 itawakuta wakijesabu kura za general election ya 2017??

Lee 216,385
Mbugua 150,137

Maoka Maore huko kwa baite murume… He has resurrected too

1 Like