Old flame wants me back as an orbiting satellite

Kuna manzi nilikatia zamani pale FB around 7 years ago nikiwa mdogo sana na ujinga ilikuwa imezidi. Nilimfurahisha sana nikimpeleka road trip, kujaribu kumsupport kwa hustle yake ya karaoke na kupromote mziki yake as an upcoming artist. Nilidhani ati vile we’re both struggling, if we support each other in our hustles, we can grow together as a couple.

Miezi tatu zikapita bila ata kupewa munju, but I was the faithful servant. Kidogo kidogo tukiwa road trip, dame akaadmit that ako na ball ya mwanaume mwingine. Yaani the whole time I was hitting on this lady alikuwa anakamuliwa Raw is War na alufa meo flani mara katha wa katha. Meanwhile mimi nilikuwa hapo nacheza position ya beta male orbiter satellite. At least I snapped into my senses nikaachana na hiyo story vile aliniambia ati nimsupport na huyo mtoi.

Fast forward to today she dms me pale IG akisema she’s reviving her music career and needs my support again. Hajui nimemeza red pill mimi apana tambua kukuwa servant wa msichana. Anyway, moral of the story, don’t be like me, usiwai support msichana. Utabaki tu ukimbembeleza as a proper alpha male anagawiwa dwy fwy

Hawa Cum dumpsters wanasumbua sana

How much did you spend on her…?

Barely anything. We met when we were both struggling. Yeye upcoming artist, mimi struggling businessman with no capiro. What I had to spend was time. That I spent a lot.

Kama haijapoteza form kabisa kabisa chapa vitu na utembee.

beta male kubali position yako na uende ukapigwwe shaft na kistrapon na ujue hana haja ya karaoki. she just want a fool to pay the bills za hicho kitoto juu ile nddume iligonga raw na ikaingia mitini

Wachaneni na these ladies u meet on social media

Tukiachana na hao wa soshiomedia tuchukue wagani master?

Go out kwa social gathering kutana na msichana mundu khu mundu. Many Facebook chics are playing men out there. Unapata mtu ako na idlers kama watano who send her money. In return anawatumia nudes. Jamaa anafikiri mdem amemnoki but wapi.

Alafu hao wenyewe wako kwa sosho gathering hawana FB accounts kwani? Lakini msee si uwank ndio uweze kufikiria straight. Kunguru ni ile ile

Ghasia takataka

Ukweli. Hii hekaya ni ya 7 years ago, back in my beta male days. Siku hizi nimekuwa alpha male, courageous enough to approach in real life.

Hawa millenium kids (2000 born) hawajui hizi vitu. Kazi nikukatiana Facebook, tinder etc. Alafu unapata hawajawi meet na huyu lover lakini wakikosana online wanaanikana …ati so n so is a player or so n so is a whore. Lmfaoo

agreed, unakuta dame ameanika jamaa, kumbe hata jamaa hajawai kamua, they just met online Ati sasa she’s heart broken… umefi tupu