Ol' Skool Breezy

https://www.youtube.com/watch?v=nmjdaBaZe8Y

Uyu msee siku za kiss kiss na run it alikua fiti alafu akararua rihanna ma kidero kadha style ika change yote.

kitambo time kiss100 walkua wana ambia watu wajirecord wakiimba song wameselect, kuna dame ali imba, I need your Boobs, gota see your boobs

hii ilkua classic

https://www.youtube.com/watch?v=yn_6LC4loY8

:D:D:Dnakumbuka izo enzi

Old chuo

Ata mimi kifaa ikanipea magonjwa ya zinaa mabare lazima itembee.