@Okiya bwana wacha kuangusa sisi chini. ebu badilisha hii team
[ATTACH=full]29894[/ATTACH]
hahaha unachezaje 4-3-3 fantasy the points are in mid field
Kwani nyinyi mko down aje? after my poor performance in Dec and Jan, bado niko #1
unapenda kujichocha sana mblo. cheza chini
kwa ligi ya wazua, nimeshuka from #2 to #8, lakini ya KTalk bado niko #1
Hii game niliwacha kucheza after game week 5 juu sikuwa najua rules vizuri. Naonanga watu kwa vipbox chat wakifurahi ati ule mse waliweka kama captain amefunga na sijawai elewa what the joy is when a captain scores and not another player.
last week ulikua position 2
hii ni kama ile excuse ya uhuru ya ‘typing error’. really? reeeeaaaallllllly?
I’ll get u screen shots to prove my argument that niliwacha kucheza hii game
How many ktalk leagues are there coz the one am looking at you are currently N0.3?
uliza @Deorro
That’s the only week nilitolewa from the top. otherwise, nimekuwa #1 since September
Yeah wewe si numero uno
team yako ni gani? Otaro FC?
Eeee