Okiya omtata

This guy hunishangaza sana who funds the guy to go to court to defend the ’ public good ’ am not aginst him but hii kazi siwes mind kuingia kwa hii industry bora sijifungi na nyororo kwa gate ya Vigilance house in protest . The guy is not a lawyer but more than once he has defended his cases and won . Asome Law apewe hio Kiti ya ngombe Tobiko .

9 Likes

A one man civil society entity.

but kun wakati serikali ilimnyeshea viboko sana so anatoa wapi mbesha

N.G.O

Ako na ranch ya miwa kwao.

1 Like

Unavumilia viboko na minyororo halafu unajidai wewe ni mwanaharakati was haki za kibinadamu. Punde si punde wafadhili wanajitokeza kutoka mataifa ya kigeni.

naona nikienda pale kwa Chief wa kimilili niite Tycoon news nijifunge na kamba kwa gate na nitusi AP ako hapo

4 Likes

hapo ni viboko tu utakula …

2 Likes

ukitoka hapo utakua umesahau momo-sampling…

2 Likes

Nilisema Okiya ndio kusema

Tycoonews will be there
We will broadcast live on air

4 Likes

Jifungie hapo Gigiri hata kama ni viboko utachapwa kisiri; lakini Kimilili, Alpha Papa na @pamba watakutoa vumbi kwenye makalio kimasomaso. Tycoon news wakija na @Meria Mata watimuliwe mbio!

5 Likes

Ufadhili ukiisha hautamsikia.

Kuna kesi ingine amepeleka ya kustop CAK from implementing the tapping of people’s calls.

He is doing the public good. More people needed like him in society in various aspects. But this line of business is very tough. Your balls will be pressed from time to time-especially if you are relatively unknown. His profile is too high for that now.

3 Likes

Kuna wakati pia alipigwa kama mwizi hadi akagolewa meno

6 Likes

Funded by anti- government foreigners

Hio crap mtaisema hadi lini? That line is tired now.

2 Likes

sarcasm

1 Like