system
March 15, 2016, 4:47pm
1
Je punda amechoka?
Na je mawingu yametanda?
Kama majibu yako ya maswali haya mawili ni ndio, basi leo usiku saa tatu kamili tizama mjadala unaofahamika kama The Big Question na Bwana Hussein Mohamed kwenye stesheni ya Citizen TV.
Pia mnaweza tuma maswali au ujumbe mfupi kupitia twitter hashtagi #TheBigQuestion
Ahsanteni.
4 Likes
Randy
March 15, 2016, 5:02pm
2
Do really believe that your party leader is capable of taking this country to it’s rightful place at the world stage???
ODM OR CORD Manifesto ???¿¿¿¿¿???¿¿¿¿¿¿
Okiya:
Je punda amechoka?
Na je mawingu yametanda?
Kama majibu yako ya maswali haya mawili ni ndio, basi leo usiku saa tatu kamili tizama mjadala unaofahamika kama The Big Question na Bwana Hussein Mohamed kwenye stesheni ya Citizen TV.
Pia mnaweza tuma maswali au ujumbe mfupi kupitia twitter hashtagi #TheBigQuestion
Ahsanteni.
our email is [email protected]
tumeni hapo
2 Likes
Thirdway option…
I thought pk had initiated that in the last GE Bwana Ekuru Aukot…
Anyway all the best.
@Okiya lakini nawesa patia yeye ile package ya campaign…