OJ: LOCAL CLUBS HUWA TAMU SANA

https://x.com/smileycherry2/status/1900795281370710250

Hutu tu locals huwa tutamu sana. Cheap beers and then drama na stories za hao walevi…kwanza wakilewa then waanze kutukanana huwa funny sana. Always a drunk guy hitting on some drunk woman akikataliwa anaanza matusi…i hang out at such joints sometimes.

5 Likes