Apana tambua. Ndio huyo mimi naenda kucheza mpira sai.
[ATTACH=full]162655[/ATTACH]
Hehe, sawa strong man
Lakini tuna jua unaenda indoor
![]()
Una habari kama kwenu Mogadishu kunanyesha ng’ombe hii ama no kiherehere tu?
Hii ni mtu ya kajiado inaenda kucheza kwa vumbi. Ambieni ye asijidai sana ni mungu ndo huleta mvua na jua sio yeye
Ndio nimerudi na kuna umama imenihudhi sana kwa hii village.
Hizo viatu zina nuka
Unacheza field gani hio ina floodlights?