ogopa kunguru

Kuna venye jana nikiwa tao deal flani nilikuwa nayo iliingiana nikaona lazima nisafishe vitu tatu iyo siku: tumbo, macho na rungu. Nikangojea ifike usiku nikaishia rico nikaingia 3rd floor huko nikaambiwa ni ka ma VIP place yenyewe ilikuwa tu shitty VIP my foot. nikaagiza guiness mbili baridi ndo nisafishe tumbo vizuri. Nilichapa chupa ya kwanza nikisafisha macho tu chini ya maji saa hio kunguru za rico zinanifinyia macho nikilenga tu. Nikaingia chupa ya mbili nikiwa almost kumaliza kunguru flani ilikuwa hapo nikaifinyia macho ikakam ikakaa mahali nilikuwa. Kuna venye iyo kunguru ilikuwa imeweza tu. Nikajua huyu ndo ntasafisha naye rungu alafu niende home. Tuka kubaliana bei nikasafisha rungu nikatosheka kabisa alafu nikaishia home. So leo nilikuwa nimeitiwa form iko Thika na boyz flani tulikuanga na yeye campus alikuwa akiitwa Lennox. Lennox hustay Juja so nilijitoa mtaani nikafika huko kitu 6 hapo.Lennox akanichapia nicheze chini juu dame wa kwake ako area. Nilikuwa nichachishe vile nitachafua iyo bash na vile tunafaa tuanze ulevi mara that. Kuskia dame wa kwako ako area nikacheza chini.

Hapo akashow dame wa kwake kama anaeza leta juice iko kwa kitchen tuipigange pole pole tukingoja giza iingie. Niliskia sauti ya uyo dame tu nikajua huyo dame kuna venye ameiva yake yote. Huyo dame ya Lennox akileta iyo juice na glass niliinua kichwa nikamcheki tukaangaliana. kuna venye my heart skipped a heart nikatense kiasi dame pia alitense kiasi chake kidogo kidogo akaangusha glass zote chini na akafaint. Manze huyo dame ni ule nilimkamua jana huko rico. na vile huyo kunguru alikuwa anabehave kama nympho hata hakuniharakisha. Lennox alimshika mapema before hajaangukia floor aumie. Kucheki ivo nilichocha Lennox ati nadai nifika Thika tutapatana huko na hivo ndo nilijitoa. imebaki nimeishia club flani ya juja hujiita Ace nikaagiza guiness mbili baridi (iyo ndo order yangu mi hupenda) nikamumunya pole pole nikicheki vile Hazard ali exorcise the red devils today.

Wee ogopa kunguru!!

the same story you told last time about mathare and your bro. Kwani you think our memories ni 1kb

Kama unapenda beste yako ambia ye ukweli ajipange akitaka (no homo)

:D:D

Kama story ni true ambia boyz wako asiletewe ugonjwa ukiona.

:D:D:D:D… saitan, cheza chini

Wazi ndume njike…

:D:D:D:D:D This Is Gold

Story ya mathare ilikua ya @Nyarwath si tall

@Nyarwath was about his wife or girlriend being with a kisii for some bones, but I am talking about a story this guy told about going to visit his friend and finding his brothers wife there

Hii inanikumbusha story ya k.u beshte yangu alitoka Nyayo 4 kwenda Kilimambogo hostels akpata dame take akihemeshwa na msee wa rugby :smiley: :smiley: dame alikuwa amemwambia ameenda home weekend. It was a coincidence juu walijuana na huyo jamaa that same day akamwambia aendee notes za common unit fulani keja yake. I have never seen a man so broken. Jamaa alishindwa mpaka kukula super

You are wrong.Check a certain hekaya under the title reintroduction.Its done by Nyarwath.

Heart skipped a heart;nimeachia hapo

sijui niamini hii story ama niache??
pewa like sv

We pia kuwa seriuos…huyu msee hajipeana hekaya kama hiyo. Labda unamconfuse na @Nyarwath

Ogopa kunguru, lakini hapo kwa ku faint na glass kuanguka na kushikiwa mid air umeingiza u Alejandro mi amor

nimgeamini hii story lakini hapo pa kufaint na kushikwa before afike chini kidogo hio ni dj afro

AKA movie za KiHindi :D:D

Hehe

Mi sija Elewa hii stori hapo mwisho