Ogopa huyu nyoka

Hii nyoka achana nayo. Licha ya kuwa hana sumu, yeye huattack adui kwa kucharaza(whip) kama nyahunyo imepakwa pilipili🌶️. Kwa kikuyu tunamuita (cuthu). Akikaza muscles vizuuri akucharaze mgongo hata unaweza faint . Kuna siku driver wa kampuni alipark kukojoa karibu na acacia, kumbe kalikua hapo, kakampata kwa kifua side ya left kuteremkia kwa tumbo hadi kwa kiuno side ya right shati ikakatika mara mbili. Siku ingine ikachapa mlevi na walikua wawili pombe ikashuka wakaanza kupigana akiuliza mwenzake mbona amemchapa?. Pia kuna siku tukichuna kahawa ilicharaza mama fulani alilia sana ati amepigwa na radi. Jacket yenye alikua amevaa ilikatika across kwa mgongo hadi ngozi ikakua nyekundu penye uzito ililand. After kuchunguza nini kimemchapa ndio tuligundua kumbe ni haka kanyoka. Shida moja tu ya haka kanyoka kakiwa kwa nyasi imekauka, au matawi ya miti na kwanza zikuwe zimekauka huwezi kaona.

8 Likes

Such a nice jailer, hii inafaa kufungwa na serekali kuchapa mikora kama @johntez_addi_gaza_ms viboko

10 Likes

I fucking hate snakes you can rob me of everything if you came with a snake instead of a gun

11 Likes

Inaitwa aje in English?

1 Like

Hata video ya movement.

2 Likes

So nikikuja kwako na nyoka unanipatia wife? But sipendi fat women like you do

5 Likes

Martin Lawrence Lol GIF by Martin

4 Likes

Psamossis. It’s not venomous.

1 Like

You should share this story with David Attenborough

5 Likes

Mkamba mjinga naona umechange jina ndiyo usijulikane

1 Like


Hii yako inakaa story ya jaba.

2 Likes

Not to rain on your reply, but the snake is Psammophis. With a “ph”.
Psamossis is a vague term that means nothing

2 Likes

Snake :slightly_smiling_face:

1 Like

Yesterday I dreamt I was being attacked by a viper. The problem was that in the dream it was cartoonish, and made of soft material like a plush toy. I somehow got me and my buddies into a Jeep Wrangler without a top, and minigun attached to the cross bar. We starting shooting shots at the viper but the bullets were also not doing anything, ni kama zilikuwa bouncy bouncy hivi. Finally we startted throwing grenades but they were just turning into another bouncy toy.

Meanwhile the viper was just tearing through the house and hiding under the couch, although it was the size of a small car. Somehow it was hiding under the couch. Niliamka tukienda round two after kuregroup na maboys with heavy equipment.

Kufikiriaaa nikakumbuka nilikula skuma and i had noticed a strange herb in the skuma. I think I may have discovered a new herb for getting high, only I dont have a specimen.

Sounds like @Agwambo’s hekaya

Nmeweka ya mamako

link it

Ahem …
If I may …
Easily confused with the Vine Snakes and Boomslang family found in the Savanas of East , Central and South Africa that are extremly venomous

As a general rule , leave snakes alone unless you are an expert:flushed:

2 Likes

Yaani chuthu imekuwa chutha? Chifu jameni :joy:

Ongeza hapo copied from Facebook

1 Like