Oginde to chair EACC

Arror amepea kanisa ile kamba watajinyonga nayo. Counties zote za UDA ziko na County Chaplain ako level moja na waziri wa county.

Kuendelea mbele kitu yyote ikienda mbaya kenya, kanisa haitakuwa na sauti ata kidogo ya kumquestion Ruto.

Ile meza maneno imeharibikia, kanisa iko na mtu hapo, watalaumu nani?

wabukala amekua hapo

He should have appointed Dr Owour.

Does EACC stand for East Africa Catholic Church?