Ofisi ya Mbunge jimbo la Chalinze inawaka moto muda huu

:D:D

Umenichekesha Lumumba kweli ni nuksi.

Ukisikia malipo ni hapa hapa duniani basi hayo ndio malipo yenyewe

Hakuna namna wacha iwake

Hakuna namna wacha iwake

Nilitaka kusikia Ngugayi ndio kaungulia ndani na wabunge wote wa CCM