Ofisi ya Mbunge jimbo la Chalinze inawaka moto muda huu

[ATTACH=full]176930[/ATTACH]

Watasema hujuma.

Sio kiwanda kweli hicho?

Sio kiwanda mkuu. Zoom utaona vyema. Labda kiwanda cha mwendo kasi anavyopigia kelele mkulu

Tuliambiwa kuwa mkoa wa pwani una viwanda vingi nilijua kiwanda cha kukaanga korosho.

Pole mbunge wa chalinze

Pole yao

[FONT=courier new]Ushirikina / Ulozi ( Wakongo / Wazaire wanasema au wanauita Kindoki ) mbaya sana. [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Naomba niishie hapa tafadhali.[/FONT]

Mbona hiyo ofisi kama imejitenga mbali sana na makazi ya watu!

Hebu fafanua kidogo mkuu umetuacha mbali kidogo

bado magogoni pale

Inaonekana ipo kwenye hifadhi ya barabara…

Cc: @Mahondaw

Ofisi kama ghala la mazao

Bravo

Kama ni office ya mtu wa Lumumba ni jambo jema sana kuungua

Pole sana mh.mbunge…

Wanazo nyingi

Serikali itamjengea ofisi mpya

Naunga mkono hoja.

Hahah!! Tuko pamoja mkuu

Hahaha