Official shirts

Wajamaa naweza pata wapi 1k official shirts hapa Nairobi

Gikosh

all the best on your interview

Amka very early enda gikomba by 7.30 am. Ambia mtu akuonyeshe kwa.mashati. Usikibali hawa brokers wa barabara Very nice shirts only for 100shs

Enda Grogon pale kirinyaga road karibu na shell petro station. Hapo utapata shati za punch kuna mupya na mutumba. Pia trousers official na khaki. Ukitaka pia suti ziko za linganisha.

Wewe hutumia Uber ?

gikosh for a gee hizo ni shirts kumi na ni zile ziko kwa hanger

Ongeza 500 …ushonewe shati …with preferred material and size