OFFICIAL: Liverpool vs Arsenal

30 minutes to kick off i can see the lineups are out

[ATTACH=full]256000[/ATTACH]
Good decision from klopp to pair TAA and van dijk on the right side as TAA is considered the weak link of our defense. Front three kama kawa iko chonjo
[ATTACH=full]256002[/ATTACH]
I can see new boy pepe in the starting 11 and some young kids from academy. This is a match a coach should go full experience ata unai was told by nevile this is not kindergarten
Fulltime LFC 3 - 1 arsenchieth

Mimi Kama mtu ya Manchester si mnajua na support Nani kwa hii game.

Sisi Kama arsenal tunachapwa

[SIZE=1]Swara sijaland wadau[/SIZE]

yaani hii kochez inawekaje laca bench alafu ati luiz anaanza heheee. mdinyo!

Willock anafanya nini kwa hio team .

Emery Ni umbwa ghassia takataka

Walai huyu kocha ana mchezo sana,watoto tena

I nefa walk alone tukiwa na @It’s Le Scumbag
tunakamua nyoka 3 - 1

In typical Arsenal fashion we bench our 2 best players in the form of Laca and Torreira. I have never understood this culture at Arsenal.

Liverpool 6 - 0 Arsenal

Hii namba ya Niles hakuna MTU mwingine ? Huyu Niles Ni calibre ya middle tier teams .

Team yako inachapa mtu 1 nil uncle.

Tombwaaaa

It’s either a draw or Arsenal take it…#COYG

Ozil hayuko na Xhaka ni swara. Kupeana fouls ndio anajua.

Arsenali tunadinywa .

Liverpool 3
Arsenal 1

Afadhali tuongee ukweli Emery is a stupid coach hatumii akili . hio midfield is dead Xhaka atagundua ako pekee yake apanic afungue kiatu cardi ishuke . Gueondozi performs akiwa na Ozil.

Auba will be starved with a dead midfield

Hukuona Man u fans clapping hata wakiwa 2-1 down…Who said we can’t beat Liverpool at home #COYG

Hio mid ange anzisha torreira ozil Xhaka pepe na cebalos

451 formation

Nipewe link

Luiz moved to a shitty team now he’s running around looking all harrassed like a scredy cat.