Hapo sawa… If klopp can add three midfield players hio squad itakuwa chonjo kabisa.
[ATTACH=full]486869[/ATTACH]
Bado wanatafuta replacement ya Mane. Waliona huyu jamaa Nunez ni takataka
Nunez ni meffii game ya jana jamaa anauza chances 10.
The meltdown at man u is hilarious…
Ronaldo alichoma, now everyone know :D:D:D[ATTACH=full]487252[/ATTACH]