Game over 1-3 spurs wamefunga jo…wacha nikalale
1 Like
Lakini both fans wa Arsenal na Man utd wameshika naree juu ya hii defeat
1 Like
1-4 ona sasa
izo sub zilikuwa blunder
1 Like
Hehehe…si nlikushow akiweka na mapema walemewe ni kukamuliwa bila lube
Game ya Liverpool na Citteh unaitakia aje?
Sasa Nyani mzee akuje afungi hii thread iko off topic. Kifala hadi kimeniblock nisicomment kwa ile thread…:D:D:D
Liverpool na City nataka waende draw
LOL tumbili jinga sana ati offtopic
1 Like
Sisi kama Juventus tutatoboa. Nyinyi na kiwenger chenu mtatoboa kweli
off topic
Man utd huwa hatujishughulishi na mambo ya nyumba ya jirani