Soton watatoboa hii mechi kweli @Jirani
manze kane amefunga ki-giroud
na nilishuku tuu…mafala hawa southampton
Ni kubaya!!
penalty kwisha
alafu red card ikafuatilia…game over msee
hahaha Harry kane amehata pena
Na red juu yake. Ndio sababu huwa sipendi Mike Dean saa ile game yetu tuko na Tottemeffi. Huyo jamaa ni Totte damu.
Lakini Bado kitafunga tu. Saa hii wamewezwa…
na kuna players wa southapton hawako…sindio? kama Charlie Austin (injury)
Na si nawacheki bench, Kina Tadic na Shane Long. Ni charlie Austin tu i guess ndie ako na injury. Wako down tu sana
eeeeeh Austin ako na injury…si basi hii fala iweke tadic
Anaeza waweka 75th au 80th min juu saa hii akiwaweka then walemewe inabaki noma zaidi, juu lazima either atatoa defender au DM
Naona ma sub wawili wa Southampton wakipiga warm up but siko sure ni kina nani
Changes tatu at ago…waaaah huyu coach ni mwenda lakini Tadic ameingia
Ameswap almost like-for-like. Huyo msee mwingine wa tatu sijui Pierre anakaa attacking mid…
But naona wakilimwa ya tatu…defence yao imebeat…
wacha defence huyo goalie Fraser Forster leo ni kichungi…hata karibu wanyama wetu amfunge
Alafu saa ile wanacheza na Arsenal Fraser anageuka Manuel Neuer:D:D:D meffi wao…
KWISHA!!!