Of water heaters

[MEDIA=tumblr]did=ea32c53bdf034ed76a8f7f96a70c7c978a39eca6;id=633771160549588992;key=4i9wrZXv_CbH-lgQ9vdMlA;name=mockwa[/MEDIA]

Alar!!! Kuna watu wanatumi koiro bado? Ama ni ya boiler?

Kenya is yet to reach that stage. Kenya is yet to conquer hunger and ignorance. Kenya is going nowhere

@Sokwe mtu ghasia kuja leta translation.

pahali nko telkom network iko down sana video inaBuffer…mimi ni fukara wa 1gb daily for 1k per month…
safcon nawekanga 150mb @50 daily(when in need) for urgent biz only not KT bullshit

Tuko sufuria moja.

Hii inaweza tengenezwa pale Kariobangi Light Industries au Jua Kali Kamukunji. Si hata fryers za chips wanaunda.

the guy is making them in a cottage industry, huyu ni jamaa wa jua kali.