Of Stingy Kenyans

There this neighbour called Mr. Omanga. He is one stingy motherfucker. Nigga has money but he is so stingy with it. Its as if he wanna go to hell with it. We were putting up a water tank in our home a few months ago and he came and asked what we were doing. When I told him we wanted to put a water tank he replied with “Mimi siezi waste pesa yangu kununua tank kwani mvua imeacha kunyesha hii Kenya?”. I kept quiet and he left. In March the nigga came to knock on our gate na alikuwa na vibuyu kumi za 20 litres. Nigga wanted we help him with water for drinking. This is the same who said he won’t waste his money buying a water tank to tap rain water. The same tank he said he didn’t wanna buy is the same one he wants to get water from. He literally had to eat his words. Nilichukua kibuyu moja pekee nikamuekea maji izo zingine akajipange. Jamaa alisema atabuy tank before April ianze tuko May never seen any tank outside his house. Heck hata hajalima mahali ataiekea.

There is this one called Mr. Wesonga. Huyu ni worse bana. This nigga wont tell you a thing but then he will exoect you to help him. He knows a thing or two about importation of cars but when you tell him to help you import one the nigga wont help you at all he will come up with all manner of excuses as to why he wont help you. If you ask him fir the process jamaa haezi kupea info ni kama unaeza isambaza after all hii ni info watu wanajua. A month ago, battery ya ndae yake ilichapa. This guy had to come and knock our gate every morning ati “Boss si ukuje uni jump startie gari yangu”, we jump started for the first time. Jamaa aliendelea kukuja na iyo story ya jump starting ilibidi ameambiwa “Boss nunua battery pia wewe hio pesa yako we hukunywa pombe nayo”, sometimes lazima uambie mtu ukweli. Its not that he doesn’t have money he has money lots of it. Ni ile hataki kutumia. After that ndo alibuy battery otherwise hadi ea leo angekuwa ametusumbua. Two days ago kitu kama 8 ya usiku napatana na yeye ati " Boss si unifikishe kwa bara bara ninunue mafuta ya gari"…So it happens his car couldn’t get up reason being it was out of fuel. Kidogo nimuulize “kwani gari yako haina gauge ya mafuta”, jamaa anaendesha gari hadi mafuta inaisha huyu ni stingy excess. Nilimfikisha tu kwa bara bara.

Wakenya wagumu kweli

Two guys don’t represent the face of Kenya.

did you know its illegal to trap rain water …according to Mr David Mbugua, the chairman of Kenya Rainwater Association :D:D:D:D:D

Hata newyork, mimi hushangaa sana there is nothing filling as rain water its just to good. Mbona hawaruhusu watu wa harvest maji ya mvua?

I have this buddy, while we were in college, I could buy him drinks and lend him money since I landed a job earlier than he did.

Nikajua akipata jobo atarudisha mkono. Not that it really mattered but that is how real guys roll. FFw, the guy got a jobo and somehow cut ties with me. Aliona amefika or like nitahitaji pesa yake.

I moved to Msa. A year or so later, he got a job in Msa too. At that point, we were moving in with my wife. So we had items that the both of us had like furniture, tv, fridge etc and we had to dispose of them.

Mark you, this guy had gotten a job with those 5 star hotels and his salo was really good for a bachelor. So we decided to sell him those items we didnt really need to keep. We agreed to have him pay after 3 months after he had settled.

Almost 5 yrs down the line the guys hasnt paid up. Sio ati hana pesa. Creme de la Creme of the stingy. Even the gf used to complain the guy at times couldn’t leave money for food. The parents were complaining too. They always thought the gf was consuming the guy’s monies, na the gf pia analia haoni pesa.

Kuna watu pesa zao hazioni jua. Ni kama kuna nyoka kwa mfuko.

Mimi kuna huyu jamaa tulikuwa tunafanya job naye a few years ago. The guy was really complicated. He was quite senior in our corporation and he had a good salary, allowances and other benefits. But something always made me think hard about him. He never took a vehicle to town from job, which is like 6km away. He always walked to avoid paying the 50 bob. When in town, he never cooked in his house or ate in classy restaurants. He went to where you get githeri ya 40/= or ugali dodo ya 50/=. You would even get him bargaining for avocados and bananas with mama mbogas. Guy was stingy as hell.

Tunakubali Omanga ni ngombe sana. Its important to correct someone without going ahead to shame him over small things. you make unecessary enemies. na pia wewe ni stingy mbaya sana. unaekea mtu kibuyu moja na unanyima yeye hizo zingine? si hungemwekea ata moja basi ama uweke roho safi. alafu kesho umwambie maji imebaki haitoshi kwako. atakuelewa na siku ingine utamuona na tank kubwa kuliko yako.
pia mimi niko na shida na watu wa kujumpstart gari kila siku na vile mimi hununua betri nikianza kuona inajikokota. Msee anakuita kila siku ufanye jumpstart na gari ameweka kabetri kidogo sana. saa ingine betri imezeeka hadi imepasuka na msee anomba jumpstart help. hadi namwambiaanunue betri sasa.

Stingy people will die poor. You have to let money go for it to come back.

sasa hama kwa baba na mama

Kisii and their stinginess and frugality is legendary! They are the Jews of Kenya, people wrongly label the Kikuyu as Jews.
Na kama unashare rentals moja na wakisii, utaona shida always late to pay bills whether for water or electricity.
Never share anything but always the loudest kwa ploti and fast to ask for favors of stuff. I could be profiling/stereotyping, but it’s like this is ingrained in them from childhood.

i have a colleague who is exactly like that,he walks to work everyday,na si ati analipwa vibaya.yeye huona kutumia fare n kuwaste pesa

Saa zingine jam na green houses gases husumbua unaona heri kutembea. Kama unaishi area ka Pangani au Nairobi West sioni haja uchome 50 kukaa kwa jam.

Ata mimi hutembea mbali sana for lunch…na siwezi tumia more than 100 for lunch on a weekday nikiwa wera. Huwa nashangaa sana nikiona watu wakilipa upwards of 250 bob for lunch everyday

Ferking hell mbona uko wera if you can’t even treat your own body well… I pity watu wanaishi na wewe :D:D

Kujitreat ni weekend bro…huonangi hadi naenda kuona avengers mseh. Lakini weekdays, monday - friday…i live on the bare minimum

ni mali ya serikali under ministry of natural resources,so ni kama kuibia wazito mali yao