Of Nyam Chom na Shida ya Joints

So Jana after celebration za madaraka day mimi na boy wangu tukaamua tukule choma 1Kg pale tao.Shida ni kua usiku sijaeza kulala juu pain kwa joints,severe head ache and stomach ache. Siku yote imebidi nikue karibu na toilet juu ya kuendesha.Swali yangu kwa madaktari Wa ktalk shida ya Nyam chom ni mini?

Typical case of food poisoning

ni maxi…

Shida si wewe na si nyama choma…shida ni “periods” zako zimekam mapema

nyama choma ulikula wapi? lets start there

Hiyo ni gout ya tumbo

Nyama choma ni Kamakis na Karura Mess…Apana tambua zingine.

Ulikula marabou shoma.

Kwali ulimtembelea wonderful wonder pale naivasha town?

haiya, yani jana ilikuwa madaraka day?

Angalia mwingine. Badala ya kwenda kuharia hosi ndo madaktari wapate sample,anakuja kuhara hapa…

Si aseme alikula wapi, tao ni kubwa.

@Wakanyama kuja hapa kidogo

sasa nyama kilo ni kitu ya kuharibia wenye butcher jina na vile hujui jana ilikuwa siku ngani hata ile ilikuharisha pia hujui

Hatambui

Most likely ulikula nyama bila kunawa.

Hapa Roast house tao.

Nilinawa na ile antiseptic soap.

NVs mnasumbua, clinic iko room 254, Meffi

[ATTACH=full]63792[/ATTACH]
NV tumia hi kiti ya wenzako