Of neglected valentine's hype

Ni kusota mmesota ama ni nini,since asubuhi i have been cruising along major streets of nairobi and kabisa sijaona ile glamour tumezoea hapa kwa city…ama wale waku paint red hawajaamka?

The whole of kenyatta avenue sijaona mtu amechocha ata angalau tie ya red…tom mboya uko ni maua za plastic na fake bouquet zimejaa za shagzmodz na evidently hakuna wanunuzi…pale luthuli tu ndio nimeon jamaa mmoja wa nduthi anapiga selfie juu ako na reflector ya red ya airtel…

Kwa office pia ni ndeeeh tu.hakuna iyo energy ya valentie.ni kadem kamoja tu kamevaa scarf ya red…kaetuitishia cupcakes from some posh bakery hapo westie but tuajua katalipia iyo pesa leo usiku mzima…

[SIZE=2]Ata brikich mimi pia sina psyche…ndio maana napost vitu za ufala[/SIZE]

Usisahau leso yako leo ukitoka ofisi.

Valentine’s was a hit tukiwa college.
There was a time all the streets, mats, cars, halls, supermarkets, you name it used to be painted red by ladies.
Nowadays they no longer seem interested ama ni hii maneno ya men’s conference ilileta shida?

Nashuku sana

Kwani tusichana tuliwacha kujinunulia red roses?

Kuna kunguru ameingia mteja tangu Jana usiku…ghaseer sana!!

U must be a driver or messenger. Uko Na udaku na umama mingi

Ni kweli sijaona vintu vya red except hapa MMU kwa gate tutoi tume don tu red

Wasee wako men’s conference

i thought men do black and white ?

ghels are single

Harsh economic times, plus I wager people have created so many love triangles its actually risky doing PDA stuff on a day like today

:D:D kweli yako.

very sensitive