Of course, It's Being Stolen

Under a pension fund Management, there’s something called management fees. There’s no law that says how high those fees can be. Same with MCSK collection hundreds of millions and paying everyone shit

Pension ile mzuri ni watoto wako kwa kazi kubwa kubwa, ii maneno ingine mingi haisaidii

zamara si ni ya muhindi? mtanyolewa kichwa bila mayi

1 Like

How come my father secures mine @sani boi … how come

1 Like

wenzake wa time yake wenye wanategemea pensions department kupata hela ya upkeep washakufa.
Ata ivo, group enye ilitoka kwa government 2002 ilikuwa imejipanga vizuri na mashamba na prime plots huko mashinani.