Of car security

Now how effective are car trackers? Compared with immobilizers how do they stack up? Or are they the same thing?
Ive never come across streering wheel locks like these why?
[ATTACH=full]163677[/ATTACH]
who remembers these gear locks? Nakumbuka nikiona mostly kwa trucks na double cabs manual but naona kuna za automatic.
[ATTACH=full]163678[/ATTACH][ATTACH=full]163679[/ATTACH]
And finally mambo ya kufunga side mirror na chain inasaidia kweli ama bado watatoa tu na chain? And how exactly does it work?
Alot of questions i know but please bear with me

Hawajisumbuangi na yenye iko na chain saana juu inacrack wakivunja. but the chains are ugly.

I thought watakata time na pliers

wanapendanga yenye mbichi haijadungwa. juu customer ukimletea yenye iko na chain na marivets anakataa. Kwanza waliachana na zile hazina indicator hadi zikashuka bei. sasa wanavunjanga zenye ziko na light. kama ni ile kubwa kama maskio ya ndovu ya SUV juu hawawezi vunja wanatoa kioo tu wanawacha hizo zingine.

So hata na chain bado tu wanatoa the glass?

yeah wanatoa mirror hiyo reflective. lakini hawananga haja ya mirror ya gari kidogo saana. tuseme kama mirror ya small nissan, honda or toyota. Wanapenda mirror ya gari kubwa inakuja na accessories kama heating elements juu ni expe kiasi.

Shida za Toyota. “Availability of cheap spare parts” ndio hii…

Security of ua car starts with u .
Always park at a safe place esp those managed parking lots ata kama ni expensive.
Avoid basement parkings if possible.
Always tip those parking boys ata kama ndio wanauzanga mtu,sometimes husaidia.
Park in an open,place kuna watu esp kama cbd on Sunday dont dump your car at a dark alley and leave it unattended for hours.
Be greaful when parking infront of someone place of business and ask for their permission first ndio wakuchungie gari.
Have your windows tinted ndio mtu asijue mko wangapi ndani ya gari.
Weka tracking and all other possible security measures.
If its possible jioshee gari nyumbani those carwash boys are knw to make duplicate keys and find out about your hidden cut out esp wenye huoshewa gari wakiteremsha one for the rd.

Ni hayo tu naeza kwambia personally hapo pengine ni mungu wako akusaidie otherwise there’s no security device mwizi wa gari hajui kumanipulate