Ocs mwangi

When i was in campus, kuna time nilibet na fees. mzae alikua amenitumia 10k balance ya fee kitambo but nilikua nmekaa nayo nikijiambia ntalipia tukikaribia kufanya exams. So ikafika weekend, iyo siku ilikua game ya barcelona na real madrid. nikachukua 10k nikaweka barcelona kichwa. posiible win ilikua 28k. barcelona iligongwa two nil fee ikakunywa maji.

Elders ikafika time yenye ni two weeks to exams na sina hiyo doo. Boyz wangu okwiri akanishow idea. I came to realize its a stunt that many students use wakisota. We went to maseno police station okwiri akaongea na OCS, wacha tumwite mwangi. Mwangi called mzae and told him wamenishika na bangi and immidiately hunged up on mzae. After two min mzee called me but sikushika. He called another three missed calls. Then akapigia mwangi. He requested mwangi if he could talk to me. i was like " fathe kuna rafiki yangu alinipea bag nimbebee kumbe ilikua na bangi ndani na sikua najua" mzae alitoa fujo kali saana kwa simu. Vle nilirudishia OCS simu akamwambia niwekwe ndani na nisitoke. For some minutes nikaona nikama deal imebounce.
e
We wanted to know kama mzae atatuma madhee ama mtu yoyote police satation cz yeye ako coast, so after 30 min mwangi called him and he was like " mzee huyu ataenda kotini on monday, kama unakuja beba kitambulisho yake, amesema iko hapo kwa nyumba" and mwangi hanged up again. vile OCS alikua anacheza hiyo game it was clear he had done that severally. Mzae confirmed mathee was on her way coming to the police station. Mwangi akaniweka ndani ya cell immidiately. baadaye munikumbushe ill narrate the experience huko ndani cell.

After two hours mathee akafika. Mwangi akanitoa ndani ya cell na kofi ingine kali bana hadi nikashangaa kwani huyu msee amesahau hii ni prank. immidiately mathee akascream bana. " Utaumiza mtoto wangu jameni!’ . Mwangi akatoa bag mzima ya bangi akaonyesha mathe. Nikarealize Kumbe hizi police station wako na exhibits za bangi mingi tu. Anyway mathee akatoka nje akakol mzae. nilikua naona body language through the window walikua wanakorofishana mbaya.Tukiendelea kungoja
mathee akaletea ocs simu waongee na mzae. wakaongea ongea kiasi mwangi akamshow atume 35k. wakavutanavutana and settled for 25k. Mathe akatoka nje akiongea kwa simu. after 20min akakam na 25k in cash. nikarudishiwa manguo na belt tukatoka na mathee. Masa akasema twende home direct. kwa mind yangu niko na wasiwasi osc akikaa na hiyo doo sana anaeza nicheza.

Tukitembea at a distance nikaambia madhee nmesahau simu narudi kuichukua. kumbe madhee ananifwata polepole at a distance. kuingia police station ocs akafinya some bundles of notes kwa mkono yangu but singeweza hesabu cz madhee pia alikua amefika. vile mwangi alicheki madhee akashout " afisa tupeni huyu kijana ndani nikama hataki kwenda nyumbani" madhee aka scream wasinishike. so tukaenda home madhee akaita pastor wakaniombea hiyo jioni na kunisomea bibilia. Uncle yangu mwalimu pia akakam kunipea advice za hapa na pale. nikaenda kwa simba yangu nikahesabu doo ilikua 18k vile tulikua tumeelewana na mwangi at the start of the deal.

Elders kesho yake nikaenda bank kulipa fee karibu niuliwe huko kwa bank. all the notes were fake. mwangi conned me

Sijui nicheke, nilie ama ni lale.

Yaani low-IQ monkey inacon hata mama mzazi?

i was desperate bana

You conned the people who brought you up, shame on you.

:D:D:D:D:D

Hekaya safi.

Aaaaaa fake notes, I say naua mtu mimi.

Hehehe…Nangoja part 2.
Ya jela hapo ndani.
Ulichunishwo?

Halafu Part3. Pesa fake ulipelekapi?

Let me guess: Aliitiwa OCS Mwangi walipofika njiani akamwambia potea!

:D:D:D:D:D

Ulilipaje fee

[ATTACH=full]438472[/ATTACH]

:D:D:D:D

:D:D:D:D nangoja part 2 and part 3

Seconded.
Nimecheka not coz its funny…i was disgusted.
Putting your folks thru such…thats fucked up.

Anyway…serves him right.

Kukula fee ni noma… long time ago i once had a traumatic experience huko high school na mzae na bursar …mzae hakuwa anaelewa how come he had cleared fees for the whole year yet the bursar was still telling him he had a balance of 5K… Then mzae recalled he once gave me 5k in cash to deposit at the school bursar… karibu nipewe suspension thanks for the bursar who had known me all the way from form 1 na akacheza na vitabu kama yeye

Hehehe.

Hii hekaya lazima umalize

Heheheheehh swafi sana.

Mimi huwa natii sana lessons za old school, heshima sio utumwa.
Mzazi ukibarikiwa upate wanaokujali, wafiche utoto yako na heshima iwe bahali yake.

Season 2 I nakuja lini