Kuna model wa KU I picked her Jana from cultural night ya KU . Sasa Dem tumejuana siku Moja na ashaanza kukua jealousy ananiuliza ati Lilian ni Nani? Mamaa called me and she almost picked the call bana.
Anyway bado namfanyia zero grazing, @uwesmake set the ebrufication standard very high but ntajaribu nifikie
[ATTACH=full]394693[/ATTACH]
You entertain a kunguru you picked last light till these hours at your place… you should have kicked her out at 7am… you tell her wife ako night shift she is about to come…ngoja ageuza kwako play field.
What are you doing hanging around with a kunguru? Makosa ni yako. Huyo atakua sumbua ata wife akirudi she will bring herself back at an unexpected time coz hiyo bedsitter inakaa abit better than room za KU.
Leta Hekaya after uekewe mchele and wake up kama cager imeoshwa. Ama akatalie kwako na akuwe anarudi unannounced. Till then wacha kutusumbua hakuna story hapa.