Oaklands Ruiru Residential Plots

Majamaa, niko na swali kuhusu plots za Oaklands huko Ruiru. Niliona matangazo yao lakini nilipoenda kuangalia, bado ni msitu. Sina uhakika siku itakapojengwa. Natafuta sehemu iliyo tayari ambapo nikimaliza kulipia naweza kujenga mara moja. Kuna yeyote aliye na ardhi huko? Kuna makadirio ya lini eneo hilo litakuwa tayari kwa makazi? Nina wasiwasi kujenga nyumba msituni bila majirani.

Go for it… It’s slowly but surely growing.