Nyundo nene the infamous is in the building ladies, missed y'all

foh!

Maze tombawao bado unarep.

Hehehe maze jana ndo nimepatana na kijiji tena

Hapo kabisa

Sante buda,

Cheza chini

kwa hivyo huna habari za mwanzishi wa hicho kijiji cha kitambo?

Hii serikali

Hii serikali ya jubilee haikupeleki mbaya

Shukran kaka

Tukuwe wapole babaa

Fiti boss

[quote=“emali, post:27, topic:75904”]

kwa hivyo huna habari za mwanzishi wa hicho kijiji cha kitambo?
[/QUOTE

Bana apana nijuacho nikua siku moja in 2014 najaribu kuingia klist ikawa ni noma. Minikachorea tu. Habari zipi hizo[/QUOTE]

burrrofcourse!!! ulikua wapi buda?kwa MH340 nini?

Kazi mob babaa, otherwise great to still see you around.