Before
[ATTACH=full]434939[/ATTACH]
After
[ATTACH=full]434940[/ATTACH]
[ATTACH=full]434941[/ATTACH]
Yule slayqueen ameniokolea sana kupikia mafundi. But namfurusha leo.
Before
[ATTACH=full]434939[/ATTACH]
After
[ATTACH=full]434940[/ATTACH]
[ATTACH=full]434941[/ATTACH]
Yule slayqueen ameniokolea sana kupikia mafundi. But namfurusha leo.
Congratulations mwalimu.
Welcome to landlords club mdau.
Congratulations.
maliza tumbo sasa
Hio kitambi ni ya pesa mzee.
congrats negroid…
Sasa leta hekaya ya huyo kunguru
Pongezi mwalimu, wacha kunguru akae, hakuna mwanamke mzuri ama mbaya.
Hiyo floor ni nini
Kazi nzuri sana.
Congratulations teacher. Hiyo keja imeweza. Finishing looks modern. How long has it taken?
buzeki ni birrionaire
Sasa weka stima
Kumbe ilikuwa project kubwa na vile ulikuwa unaitaja ni kama kakitu kadogo.Congrats lakini,sasa nikutafuta yule mwalimu wa Kiambu for official house opening
Congratulations.
Congratulations mdau
Any man who had built a house before owning a car I have "
[ATTACH=full]434965[/ATTACH]
For you!
Congrats.
Meaning?
Meanwhile @Ndekwe congratulations.It is always prudent to get ur hands dirty n do the work by urselofu.Watu huwa wanashangaa na other bonobos think that you can’t afford a hand man but in the real sense, you avoid wastage by mafundis na wizi ya foreman doesn’t exist when ur there.
Santeni elders