Najua Kuna cobra, python, puff herder and countless other species zenye sijui zinaitwa vipi. Thinking about it; I think imma make a photographic catalog of all the different wild species found there. For documentation purpose.
Yea that’s a great idea… infact try that during mating season the puffy has an interesting intercourse infact you may learn a few moves au vipi? Na utupe ma photo uku….
Ati unasema nijungulie nyoka ziki kulana. Ma’fucker … that’s some straight up, on another level kinky shit bro. Hell nah …
Zii kwani ujui photography? Nasema you can learn some moves uki photograph zikiwa mating season… you could be a hero na you introduce new moves… btw najua unanichocha akuna nyoka uko nazo wewe sindio ulikua unauza mandazi pale kariokor??? Mandazi za mkamba? Unadhani sikujui
[SIZE=3]Acha kutubebe umeffi… cobra,puff adder na python akuna siku utazipata in the same area code… cobra hukula kina puffy naye python hukula kina sungura so there is no way iyo place itakua over populated with that food chain structure… [/SIZE][SIZE=6]izo nyoka zako enda ukazipige finger[/SIZE]
This is why chutis employ kambodians,washajua hizo nugu haziezi jijenga hata na sumu ya nyoka
If you have a large place you can raise guinea fowls the will kill small snakes and act as an alarm for big snakes , don’t forget they will also clear your grassy areas of ticks , shida ni hiyo kelele huwezi weka nyumba yazo karibu na mahali unalala!
Hahahaha achana na hii @Gaza inauzanga mandizi pale kariokor na jioni anachomanga maindi
Tutumie porno ya nyoka bonoboste.
Ziko na @Gaza ongea nayeye vipoa
Kwanza zikipigana ma munju.
@Gaza si wee ni ras lakini, ata kama umenyoa.
Hii ni Ile nyoka hulea mifugo ama?:D:D:D:D:D
@Gaza what’d you have to say for yourself?:D:D As the chair of Gatekeepers Guild I take this charge very seriously
:D:D
Watu wako maneno hii dunia kaka angu… herder ni beste yake shepherd ndo huwachiwa mifugi
Acha atafute bundles najua anakam kunikuta
so snakes and hares/rabbits coexist as friends.
Kujeni huku lowlands muone manyoka aisee.Kila aina si ati nini nini. Hizo vitu zote zimejaa huku. Trust me I ain’t kidding. Kuanzia mogotio, marigat teremka hadi Kapedo … baragoi, suguta na uko. Tembea ujionee.
sawa tutakuja nauko na GSU