[ATTACH=full]177068[/ATTACH]
Ha Ha ha ah ,Monies talk
Daaaa hiii kaliiiiiii. Acha chezea wazeeeeee.
Aiseeee
Isee
habr ya malawi
njema mkuu nimerudi kwetu saizi niko huku ileje
karibu ila tumeshakua wakimbizi sasa
Nashangaa wengi mmeniunga mkono kuishi ukimbizini
Mi nimezoea maana Malawi na kuwa kama mkimbizi
Hao wazee hawataki chura…
Bora wazee no stress kuliko hawa viboro dinda…zipu mbovu
Duuuh
Hao wadada unafikiri hawana mipango yao ya kando kwa ajili ya show show??
Ngoja tucheze BIKO
Hapo mkuu akili zao hazipo kwenye mapenzi tena, wanawaza pesa tu wana manage vipi na wafanyaje ziongezeke. Japo itakuwa mara moja moja kubadili ladha kiafy sio mbaya
Ngoja tusake pesa
Ndio ndio isitoshe bado wadogo sana hao,ni ngumu kuvumilia kuguswa juu juu tu,hata mara moja kwa mwaka lazima wakatifuliwe haswa
eeeeeh bibie tumekufanyaje tena mpaka utuone sio
hapo ni pesa zimewakamata…kwa umri wao uhitaji wa ukuni ni mkubwa sana kuliko hao wababu…
Nyalandu naye kibabu!! No