It’s kinda funny. Ile kicheko unaiambia isithubutu kutoka lakini bado inatoka. Midomo refu wapunguze comments.
Hakuna mtu anajali kenye mzungu anafikiria.
5 Likes
Colonizer asifanye ukonde
It is what it is
Amedanganya? Ata Nairobi most estates have water problems, ata Kileleshwa