Roundi hii kulala na vitu ya Wenyewe sumuuu
Ngoja wanakuja.
hii niliona nikiwa na foreskin bado
yaani siezi post kitu hamjai ona
hehe huyo jamaa kichwa imeffanyiwa panel beating kabisa
Unaeza post mkia haitakosa wafuasi na hawajawai iona
Ouch :D:D:D
I thought you still have it, dang.
Salimia boy wako @Liberty
your name betrays your comment, look who is talking
Why are you so much obsessed about your foreskin.
Ilikuwa wezi wa simu sasa ni Nyeri MCA?
Hata @Shamsudin alikuwa hspa na huu upuzi usiku wa manane halafu akang’oa…:D:D
???
:meffi::meffi::meffi: NV.
Hawa sio wale wa Embu fake currencies?
Dont gather mharo news and litter everywhere in the village.
Siku za Bad Muksin akisoma news
Wako area Karibu wafike
Imagine sikuona hii.ama ni ile month nilikua dubai
Hapa headline umeng’oa hii momo walikuwa kwa shop ile ya villager wa hapa @M-Pesa …akawaseti rada wakajua hawajui.
Kenyans are loosing it…whatsup with guyz humiliating women. Itz not worth it at all. So disheartening