NYERI FLIGHTS

Can one purchase the recently introduced nyeri flight tickets online

?

?

yes, washaweka kale kambao hapo katikati manakaa waane waane., alafu washienzz wanasema flight ya 25 minutes ni direct sijui nikaa itakua inasmama githurai ndio ijae. bure kabisa hii watu.

nilicheka karibu nigaragare lakini maripota nafikiri ndio walijiongezea hiyo or even if governor mutahi used the term they should not have regurgitated.

If theres a direct flight mimi husema I missed ni ile ya Concorde. Heathrow to JFK in 3.5h.

Hii flight slay queen wote watapanda.

Watasimama hapo sagana watu wanunue nduma na ngwaci

pale kwa ndizi nyingi huitwa aje? always stock up there
alafu sasa tunaweza iba ile makaa
cc: @Liberty

Itapita Kagio,juu ya Pure Pishori mixed with pakistan.

Inafaa kusimama hapo Kambiti, abiria wakojoe.

Go fuck a goat

Kwa ndizi kunaitwa Kibingoti…alafu makaa inajiuza pale kambiti…

na Tana bridge kununua tilapia ambao ni common carp

Is it even landing ama watu wanaparachute nje over Nairobi saa zile kanjo hawako area.

Hapana, Nduma na ngwaci watachukua pale Kiangwaci.

Ooo, ukweli

Isimame delmonte ingojee ndege zingine ndio waingie nyeri in a convoy

hehehe
pewa ile unakunywa

Dereva, hang kwa side mirror. Btw ndege ina side mirror?

haha za kuovertake mwewe labda

Itatoboa mlima ya kangocho

Jaribu kuchukua makaa ya mkamba bila kulipa. Ukiweka kwa moto wewe mwenyewe unachomeka!