Does anyone have information on whether or not this place was reopened?
Wakati maji ilikuwa inapotea huko Kayole, mluhya @uwesmake kutoka Kimilili alikuwa anaweka familia yake yote kwa vitz na kuwapeleka swimming hapo tu nyayo stadium.
Wana swim hadi na zile nguo zao chafu… @uwesmake hadi anasugua makende kwa baby pool.
Mwingine alikuwa na hio tabia ni @Brayo44ki kutoka Githurai 44. Akifungiwa maji na landlord, ndio huyo anaelekea swimming pool kuosha makende. Sad state of affairs in KE.
Akiwa bachelor kijana @uwesmake alikuwa pia anabeba stove na pakiti ya Jimbi maize meal, sukuma wiki, kitunguu, dania, omena na nyanya kisha anapanda matatu akielekea swimming.
Kijana baro baro @uwesmake anaongea na watchman vizuri anamwachia 50.
Kijana wa Kimilili anasimama kando ya swimming pool na kutayarisha jikoni. Anaosha sukuma vizuri na nyanya na dania. Anakata kata na kisu. Watchman anaangalia tu ndio wakubwa wasikuje. Anaketi akingoja lunj time iive.
Mluhya @uwesmake anatumia kijiti ya relay kama mwiko. Maji ya ugali anachota kwa baby pool na kufinya ukali hadi inakuwa laini. Haihitachi chumvi, iko na chlorine. Anaita Wephukulu watchman akuje aonje.
Wephukulu anakimbia na retio. Kisha wanameka ukali wakituma salamu. Utamu ulioche ukali ya machi ya chlorine. Mluhya anamalisa lunj kisha anaosha fiompo na kufakia mapakshish. Kisha anaingia swimming na kuosha matiapa. Na hio ni siku njema mluhya @uwesmake anasema ahsanda kwa serikali.
Not funny hizi stale jokes enda ukatege nazo ukingoja wateja wakuspank hio matako yako imekauka kama maganda ya ndimu.
Niko na lake hapa kwa ranch mdau. Every second wkend of every second quarter, every second year … I let every other second bonobo to take a deep for a hot second and that’s only because I clean up the lake every second year.
Wewe najua sio mara moja au mbili umeoga na maji ya mitaro kwa hizo barabara za hapo Kenol. Au maji ya potholes. Mkiwa na mkeo Njambi aka @kanguthu .
Very funny stories on this thread
@T.Vercetti nimechoka kucheka…inafaa unilipe kunichekesa bila sababu
How old are you?