Ndovu
February 4, 2025, 6:07pm
1
A Kenya porrts official was filmed on the weekend after alledgedly refusing to pay a woman of the night her dues
Sasa weka mbudget. Kppa maybe pays this ninja 165k take home ×.7= 115k
Rent: 20,000 (2 bdrm)
Mortgage loan: 5Million loan(20k pmt)
Transport: 20,000 fuel (insurance included)
Car loan: 2.5 Million Toyota crown 2018(20k pmt)
Salary advance: 15k
Airtime,Netflix,Showmax,Subscriptions: 7,500
=102,500/115,000 …12,500 itamezwa na silly whatsapp contributions, welfare, sacco contributions, utilities etc
Haha inaonekana jamaa hakuweka lanye budget kwa hesabu. I keep telling u guys 25k-185k sote tuko league moja
8 Likes
So niko sawa na my 30k salo?
So long as I stick to 200 ya @cortedivoire
10 Likes
haha, Sabina Joy hakuna drama kama hizo
Lakini pia kushindwa kulipa malaya ni laana jo
1 Like
Umesahau a minimum of 1M extra from kickbacks. Jamaa pengine anaishi Runda. Salary yake ni pocket money ya watoi international school pale Pembroke House School.
1 Like
Ni sura ya maraya unaficha. Are you defending her honor?
5 Likes
WasikA
February 5, 2025, 4:14am
9
Lanye akishakupigia kelele hivyo hakuna kumlipa tena. Huyu ni kama muikamba @chap . Amezoea eating cat na kutoka mbio
1 Like
Lakini lanye sio mtu wa kujaribu kuhepa. They have no shame most likely kila mtu hiyo mtaa anajua yeye ni lanye so wewe ndio unakipitia. After all this drama kama wamesikizana 500 lanye atadai 5K. a Aibu kubwa tu
4 Likes
Ndovu
February 5, 2025, 6:42am
12
Ama jamaa alipata ni catfish akaamua hataki tena…
1 Like
ni kama ni repeat client…malaya hua hatambui
I leave you with a Kisii proverb which says that a horny boy who doesn’t know how to seduce young girls will end up raping she-goats.
1 Like
Hapa naona mtu ukiwa patient unaeza okota kryptonite. Hawakai kina Jane Njenga.
Wacha nitulie na GenZ wa colle…drama free
1 Like