Nyari bridge

Kuna gari imepita na hizo guardrail mbili na kuwa submarine. @Meria Mata leta hekaya na info. Jam ilianza six

I hear that also!

Ikua yatoka upande upi? The last time I was there hapo mahali hata hakukua na guardrails.

How now… Mbisha muhimu

2 Likes

A good caricature will suffice

Kupata mbisha hapa zi lazima pia yeye…wacha tu

Nauza mbisha ya hiyo accident

Nyari huwa na guard rails mbili. Moja ya magari then nyingine ya pedestrian walkway. Gari ilitoka mainland headed island. Imechapa guard rails ya kwanza then ya pili then nose dived into the ocean. Mbisha labda ya the uprooted rails coz gari iko chini ya mawaba literally. And, nyari bridge has always , always since commisioning, imekuwa na rails.

1 Like

Ni Nyari estate nrb au ni Nyali bridge msa??

5 Likes

Nyari bridge Bosnia , Nepal right after Timbuktu hapo Himalaya mountains

7 Likes

Kiswahili.jpg

I was finding it hard to believe this so I just assumed ni hapo karibu na chuo juu niliona ni kama zimeibiwa na watu wa scrap metal. That car must be massive because I have seen a loaded Hussein Dairy that had rammed into hizo rails za Mtwapa bridge na iliwacha dent tu… ama hio iliruka juu?

[ATTACH=full]22536[/ATTACH] [ATTACH=full]22537[/ATTACH]

3 Likes

[ATTACH=full]22538[/ATTACH]

Wewe unaongea kuhusu bridge ya kwenda Gachie ama?

7 Likes

Can you fathom the impact. That vehicle ilikuwa karibu kuvunja sound barrier but settled for road barrier

4 Likes

Hapo kwa bridge Kuna mambo

Personally i was there, we have cameras there also…it wasn’t å matatu but å black Toyota surf and it didn’t land in the sea but proceeded 2 town…stolen from Team MCA, Mombasa Crime Alerts

Most likely ni mlevi ametoka mainland anaingia Tao kumalizia night out

[ATTACH=full]22544[/ATTACH]