Huku bado kunakuanga na watu?
Hapana, iligeuzwa ikafanywa zizi la ng’ombe.
Uliza @Kihii Kiaganu haikosi anaijua…anajuanga hizi hotel/bar/brothels zina majina funny funny sana
Wa kucheza chini
Kwani hukuskia news siku hizi ni wanyama mwitu ndio hukuwa