Nyama ya wasee Nyandarua

[ATTACH=full]74722[/ATTACH] Imekulwa ni huyo Governor.

1 Like

where are people getting this ideas, National government didn’t disburse money to counries to set up christmas trees. Let them roast the guy for putting up a fake ass tree, lakini wasiongeze royco kwa hiyo story

6 Likes

Tuna vote in babuon for a change

4 Likes

Gavana WA Karau ni nani

6 Likes

wewe na nani?

3 Likes

Wacheni uchoyo, kwani gafana hafai kura nyama ya krithimathi?
https://pbs.twimg.com/media/CXCd_nJUEAA-QZ2.jpg

16 Likes

Na wa Kenya Wenzangu

2 Likes

Nimekupea like juu ya recycling ufala.

2 Likes

Ata mukimvotia akiwa sole candidate bado ataenda supreme court kukataa matokeo but isokey. Mary Christmas

5 Likes

Let them give him fake votes in the coming General erections

1 Like

babuon ni nani?

Hakuna item kama hiyo kwa chart of accounts… Labda wafix pale kwa official entertainment expenses 2210503

1 Like

Yeye na mimi

2 Likes

Macho nyanya and his lackeys waende nyumbani. Watu wanakufa mahospitalini juu hakuna pesa ya kulipa madaktari lakini wale waliiba hizo pesa wako huru na wanavie for political office kama hawako office tayari.

1 Like

Mimi pia na hata @Wakanyama

Wakijenga na io pesa multi million homesteads.

1 Like

Mpaka wengine wanjenga market centers na pesa ya umma

1 Like

tahiri kwanza ,mende wewe

Heshimu wazee, mzee mdogo. Shienz

i would rather die

1 Like