Nyama VS Mfupa

Nalipa nyama punch alafu mfupa thao
[ATTACH=full]282332[/ATTACH]

Naoa nyama alafu mfupa inakuwa backup!!

Hiyo mfupa iko chonjo

Mfupa ako sawa… nyama Akitoa nguo ni kama millipede … you can spot tires around her waist even with her clothes on

mifupa ni ya kuchemsha supu. unaikula after nyama.

Mifupa

Nakula tu yote,k is constant

One is built for comfort the other peeformance.
Nyama>mfupa

Wuehhh, hiyo mfupa bana

hio nyama itakua croissant in a year

mr bones anytime

[ATTACH=full]282413[/ATTACH]
Hizi nakula na macho tu.

Safi.