NYAMA SWAFI HAPA KICHINJIO

Kilo ya steak 400, buy In stock na weka kwa fridge [ATTACH=full]356350[/ATTACH][ATTACH=full]356350[/ATTACH][ATTACH=full]356352[/ATTACH][ATTACH=full]356351[/ATTACH]

Kweni ngombe in expe kuliko mbuzi… kiserian mbuzi ni 350- 380.

Ng’ombe ni 360 jameni.

Ng’ombe kwetu ni 320

Kilo ya maini na roho ni 240

Basi nime gongwa wadau [ATTACH=full]356356[/ATTACH]

Niaje mtu ya nissan juke:D:D:D:D:D

Iambie

iambie ivae kamisii…

I bought mbuzi 420 huko Githinjiro niligogwa ama??

Meanwhile leo leo nimeuza huyu mzito @15k bila stress.
[ATTACH=full]356396[/ATTACH]

Bi

Hii yangu ni stake

i bought full goat 14kg na kichwa na tumbo all came to 6700. niligongwa ama ?

I don’t know but I guess a mbuzi costs around that much