nyama nyama nyama

hii nyama imeaanza kuwa ndogo uliona pale embu watu wakingangania . naona watu wakiuana

Kweli

Ya Eurobond, Ya NYS, Ya bla bla bla…

Tutapiga hiyo nyama kwa mdomo yako!

That came from a woman :D:D:D:D politics is interesting.

Millie Odhiambo is only a woman in shape. Her utterances and behavior are anything but woman like.

That’s how you survive in politics. look at all the “soft” women out there, trying to convince people to vote for them. Uliwatch hiyo JKL ya Miguna, Khisia, Maggie na Passaris? You can tell Passaris is a non-starter going by how she isn’t willing to go ham on the other candidates. Maggie alifunguka full force.

tomboy par excellence…kama hangesoma ndiye angekuwa yule shabik wa Gor…

Miguna alipiga maggie uppercut

Siwezi mind kukakamua

:D:D:D Mgani? Millie, Passaris, Maggie???

Huyu ni wewe unaelekea butchery?
[ATTACH=full]58259[/ATTACH]

Millie

hehehehehe. Hubagui hata kidogo? Passaris anakaa nikimpa mic atume salamu ataringa ama afanye mchezo. Millie hapana nimekataa. Nisipofika threshold anaweza niamkia na mangoto. Na huyo Maggie ninaona ni kama ataanza kuimba glory glory kwa sauti mbaya. So wote wakae na huko!

Maggie karibu achape Miguna kofi. I am looking forward to more political debates because they are funnier than even Churchill show.

That was comedy galore. :D:D:D